Nenda kwa yaliyomo

Joshua Lederberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joshua Lederberg

Joshua Lederberg (amezaliwa 23 Mei 1925) ni mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za chembe hai. Mwaka wa 1958, pamoja na George Beadle na Edward Tatum alikuwa mshindi wa ‘’’Tuzo ya Nobel ya Tiba’’’.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joshua Lederberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.