Daniel Bovet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Bovet

Daniel Bovet (23 Machi 19078 Aprili 1992) alikuwa mtaalamu wa madawa kutoka nchi ya Italia; alizaliwa nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua madawa yanayotibu kikemia, kwa mfano salfonamaidi. Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Bovet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.