Roger Guillemin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Guillemin

Roger Charles Louis Guillemin (amezaliwa 11 Januari 1924) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Baadaye alihamia Marekani ambako alipata uraia 1963. Hasa alichunguza homoni mbalimbali. Mwaka wa 1977, pamoja na Andrew Schally na Rosalyn Yalow alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Guillemin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.