Julius Wagner-Jauregg
Mandhari
Julius Wagner-Jauregg (7 Machi 1857 – 27 Septemba 1940) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza na kutibu magonjwa ya kiakili kwa kutumia tiba ya kushtua ya kuingiza homa mwilini. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julius Wagner-Jauregg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |