Willem Einthoven

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Willem Einthoven (1906)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Willem Einthoven (21 Mei 186029 Septemba 1927) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza maswali ya umeme wa moyo na kuunda mbinu za kuupima. Mwaka wa 1924 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willem Einthoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.