Michael Bishop
Mandhari
John Michael Bishop (amezaliwa 22 Februari 1936) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi. Mwaka wa 1989, pamoja na Harold Varmus alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Bishop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |