Francois Jacob

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
François Jacob

Francois Jacob (amezaliwa 17 Juni 1920) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu mbalimbali. Mwaka wa 1965, pamoja na Andre Lwoff na Jacques Monod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francois Jacob kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.