Phillip Sharp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phillip Sharp

Phillip Allen Sharp (amezaliwa 6 Juni, 1944) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza DNA. Mwaka wa 1993, pamoja na Richard Roberts, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phillip Sharp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.