Craig Mello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Craig Mello

Amezaliwa 18 Oktoba, 1960
Kazi yake mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani

Craig Mello (amezaliwa 18 Oktoba, 1960) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza RNA. Mwaka wa 2006, pamoja na Andrew Fire, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Craig Mello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.