Hans van der Pluijm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hans Van der Pluijm (amezaliwa tarehe 4 Machi, 1949 mjini Amsterdam nchini Uholanzi) ni meneja wa klabu ya Singida Big Stars]] inayoshiriki Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.