Maria wa Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Maria wa Misri.
Picha takatifu ya Mt. Maria wa Misri (kutoka Urusi, karne ya 18).
Picha takatifu ya Mt Maria wa Misri akizungukwa na matukio ya maisha yake (Beliy Gorod, karne ya 17).
Maria wa Misri akipewa na Zosima wa Palestina joho la kufunikia uchi wake (kutoka Ufaransa, karne ya 15; mchoro sasa uko British Library)
Maria wa Misri alivyochorwa na José de Ribera.

Maria wa Misri (Misri, 344 hivi – Palestina, 421 hivi[1]) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeishi peke yake jangwani mashariki kwa mto Yordani miaka 47 baada ya kutubu maisha yake ya dhambi (miaka 17 ya ukahaba mjini Aleksandria[2][3]).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 1 Aprili[4] na 2 Aprili, lakini pia 5 Novemba[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo kwa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

  • S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.