Nenda kwa yaliyomo

Mansueti, Severi, Apiani, Donati na Honori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mansueti, Severi, Apiani, Donati na Honori (walifariki Aleksandria, 483 hivi) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani sahihi katika mabishano na Wamonofisiti.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Desemba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.