Tomais wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tomais wa Aleksandria (aliuawa 476) alikuwa mwanamke Mkristo wa mji huo wa Misri aliyekataa kuzini na babamkwe wake ambaye kwa sababu hiyo alimkata vipande viwili kwa upanga.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 14 Aprili[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomais wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.