Varo na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kifodini cha Varo na wenzake.

Varo na wenzake (walifariki 307) walikuwa Wakristo wa Misri.

Varo alikuwa askari. Alipokwenda gerezani kutembelea wakaapweke 6 waliofungwa, alijiunga nao. Hatimaye wote waliteswa na kuuawa kwa ajili ya imani yao.

Majina ya wenzake hayajulikani.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Varo na wenzake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.