Nenda kwa yaliyomo

Leonides wa Thebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leonides wa Thebe pamoja na wenzake kadhaa (walifariki 300 hivi) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Januari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.