Abamun wa Tukh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abamun wa Tukh (alifariki Ansena, Misri, karne ya 4) ni Mkristo aliyefia imani yake ya dini kwa kukatwa kichwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-XScript error: No such module "check isxn".
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abamun wa Tukh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.