Nenda kwa yaliyomo

Heliodori na Venusti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heliodori na Venusti pamoja na wenzao 74 (walifariki mwishoni mwa karne ya 3) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Diokletian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Mei[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.