Nenda kwa yaliyomo

Lucho, Montano na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucho, Montano na wenzao Juliano, Vitoriko, Vikta na Donasiani (walifia dini Karthago, katika Tunisia ya leo, 259 hivi) walikuwa Wakristo ambao, kwa kushika mafundisho waliopewa na askofu Sipriani, waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 67
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 59

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • Baring-Gould, Sabine (1897), The Lives Of The Saints, juz. la 2, February, London: J. C. Nimmo, iliwekwa mnamo 2021-08-23
  • Butler, Alban (1866), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, juz. la 2, James Duffy, iliwekwa mnamo 2021-08-23
  • Liguori, Alphonsus (1888), Victories of the Martyrs: Or, The Lives of the Most Celebrated Martyrs of the Church, Benziger Bros., iliwekwa mnamo 2021-08-23
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-08-22
  • Harrower, Scott (2024). Trauma and Recovery in Early North African Christianity. Christianities Before Modernity. Juz. la 1. Medieval Institute Publications.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.