Petro I wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Njozi ya Petro wa Aleksandria.

Petro I wa Aleksandria alikuwa Papa wa 17 wa Kanisa la Kikopti na alifia dini ya Ukristo tarehe 25 Novemba 311 chini ya kaisari Diocletian.

Pamoja naye waliuawa mapadri Fausto, Dio na Amoni.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petros I (300–311). Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-08.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Petro I wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.