Onesimo Nesib
Mandhari

Onesimo Nesib (kwa Kioromo: Onesimoos Nasiib; 1856 hivi – 21 Juni 1931) alikuwa Mworomo aliyejiunga na madhehebu ya Walutheri (31 Machi 1872) akawa mmisionari nchini Ethiopia akatafsiri Biblia ya Kikristo katika Kioromo. Hivyo amekuwa mwanzilishi wa fasihi ya Kioromo ya kisasa[1].
Onesimo Nesib anatazamwa kama mtakatifu katika Lutheran Book of Worship ya Marekani.
Matoleo
[hariri | hariri chanzo]- The Bible. 1893.
- The Galla Spelling Book. Moncullo: Swedish Mission Press, 1894.
Chanzo
[hariri | hariri chanzo]- Arén, Gustav. 1978. Evangelical Pioneers in Ethiopia. Stockholm: EFS Vorlage.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- DACB article on Onesimos Nesib
- Mekura Blucha, "Onesimos Nasib's Pioneering Contributions to Oromo Writing" Ilihifadhiwa 5 Februari 2012 kwenye Wayback Machine., Nordic Journal of African Studies 4(1): 36-59 (1995)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |