Sahihi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sahihi maarufu ya John Hancock katika tamko la uhuru la Marekani.

Sahihi (kutoka neno la Kiarabu; pia: saini kutoka Kiingereza sign au kirefu signature) ni andiko maalumu unaofanywa na mhusika kwa mkono wake kuthibitisha kwamba ni mwenyewe aliyesema au aliyetenda jambo fulani.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sahihi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.