Kanio wa Atella
Mandhari
Kanio wa Atella alikuwa askofu akafia imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].
Inasemekana alitokea Karthago, leo nchini Tunisia, akaishia Atella (leo Sant'Arpino, Caserta, Italia Kusini)[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[3][4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90990
- ↑ Francesco Lanzoni, Le origini delle diocesi antiche d'Italia: studio critico, Volumi 35-36, Tip. Poliglotta Vaticana, 1923
- ↑ AA. VV., Raccolta Rassegna Storica dei Comuni, vol. 30, 2016
- ↑ Pina Belli D'Elia, Clara Gelao, La Cattedrale di Acerenza: mille anni di storia, Edizioni Osanna, 1999
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Santiebeati.it: life of San Canio (Kiitalia)
- Calitritradizioni.it: San Canio, venerated at Calitri Ilihifadhiwa 3 Septemba 2005 kwenye Wayback Machine. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |