Nenda kwa yaliyomo

Mohrael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohrael (Tamouh, Kairo, 291 - Unsena, 303) alikuwa msichana wa Misri aliyeuawa kwa imani yake ya Kikristo katika umri wa miaka 12[1].

Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu mfiadini[2], hasa tarehe 22 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Mohrael Story". www.geocities.ws. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
  2. In Al Kiraza journal - Issue dd. 30/1/1998

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saint. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.