Patapi wa Thebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt Patapi.

Patapi wa Thebe alikuwa mkaapweke katika jangwa la Misri katika karne ya 4.

Halafu akahamia Konstantinopoli alikoanzisha monasteri na hatimaye kufariki dunia.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Desemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • «The Holy Monastery of Saint Patapios in Loutraki» [edition of the Metropolis of Corinth, Sikyon, Zemenou, Tarsus and Polyfengous, 2012].
  • «The Greek Monasteries» [Ev. Lekkou, Ihnilatis, Athens, 1995].
  • "Agiologio of Orthodoxy," [Christos Tsolakidis, Athens, 2001 edition]
  • «O Megas Synaxaristis of the Orthodox Church" Saint Patapios, p. (254) - (261) [m Victoras Mattheos, 3rd edition, Metamorfosi Sotiros Monastery, Athens, 1968]
  • "Saint Patapios" [Stylianos Papadopoulos, professor of the University of Athens, Holy Monastery of Saint Patapios, Loutraki, Greece, edition 2006).
  • "St. Patapios and his miracles," [Dr. Charalambos Busias, edition of Holy Monastery of Saint Patapios Loutraki 2004]
  • "Life, akolouthia, paraklitikos kanonas and egomia of the holy mother ‘’Saint Hypomone" [Dr. Charalambos Busias, edition of Holy Monastery of Saint Patapios, Loutraki 1999]
  • "Deltos of Miracles of our miraculous father St. Patapios" [Dr. Charalambos Busias, edition of Holy Monastery of Saint Patapios 4th Edition, Loutraki 2011]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.