Nenda kwa yaliyomo

Amoni wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amoni wa Aleksandria ni kati ya Wakristo wa mji huo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Diokletian. Alikuwa mtoto tu.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.