Adriani, Vikta na Sekundili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Adriani, Vikta na Sekundili (walifariki 290 hivi) ni kati ya Wakristo wa Numidia (Afrika Kaskazini) waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Maximian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adriani, Vikta na Sekundili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.