Vikta wa Kaisarea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vikta wa Kaisarea (kwa Kilatini: "Victor") alikuwa Mkristo aliyefia imani yake kwa kusulubiwa huko Kaisarea wa Mauretania (leo nchini Algeria).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Agosti[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.