Kresentiani, Vikta, Rusula na Generali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kresentiani, Vikta, Rusula na Generali (walifariki 258 hivi) ni kati ya Wakristo wa Tunisia ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Septemba[1][2][3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kresentiani, Vikta, Rusula na Generali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.