Nenda kwa yaliyomo

Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (13 Mei)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (13 Mei) (walifariki Aleksandria, 372) walikuwa Wakatoliki wengi wa mji huo wa Misri, ambao walifia imani sahihi katika kanisa la Theonas wakati wa dhuluma ya Waario dhidi yao chini ya Kaisari Valens.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Mei[1],

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.