Nenda kwa yaliyomo

Murita wa Karthago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Murita wa Karthago (alifariki 505) alikuwa Mkristo wa Karthago (leo nchini Tunisia)

Ilimbidi apambane na Uario ulioungwa mkono na mfalme wa Wavandali ili kutetea imani sahihi. Kwa ajili hiyo alipelekwa uhamishoni katika jangwa la Libya karibu na Tripoli.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Julai[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://catholicsaints.info/saint-muritta-of-carthage/
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.