Iskirioni na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iskirioni na wenzake watano (walifia dini Asiut, Misri, 249 hivi) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Mwenyewe alikuwa jemadari, wenzake askari wa kawaida.

Wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Juni[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iskirioni na wenzake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.