Mathayo II wa Aleksandria
Mandhari
Mathayo II wa Aleksandria kuanzia mwaka 1452 hadi 23 Septemba 1465 alikuwa Patriarki wa 90 wa Kanisa la Kikopti[1].
Kabla ya hapo alikuwa mmonaki.
Anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Coptic synexarium". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-11. Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
- ↑ Coptic synaxarium
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |