Mabikira Wafiadini (16 Desemba)
Mandhari
Mabikira Wafiadini wa Afrika Kaskazini Magharibi (walifariki 482 hivi), ambao wanaheshimiwa pamoja tarehe 16 Desemba, ni kundi kubwa la wanawake Wakatoliki waliouawa kikatili katika dhuluma ya Huneriki, mfalme wa Wavandali, mfuasi wa Ario, mwishoni mwa karne ya 5.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Desemba[1][2]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |