Nenda kwa yaliyomo

Laurenti na Ignasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laurenti na Ignasi (walifariki 250 hivi) walikuwa Mkristo wa Karthago (karibu na Tunisi ya leo) katika dhuluma ya kaisari Decius.

Kama Selerina wa Karthago, askari hao, walikubali kufungwa pingu na kuteswa kwa namna mbalimbali na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yao. Sipriani aliandika juu yao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 3 Februari[1] pamoja na Selerina, mama wa mmojawao[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.