Aleksanda wa Sisili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Aleksanda wa Sisili, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1317) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Sicilia, Italia ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akachomwa moto kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksanda wa Sisili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.