Yohane wa Grenada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane wa Grenada, O. de M. (alifia dini Grenada, Hispania, 1428) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania, ambaye alikwenda mara mbili Afrika kukomboa watumwa na akauawa na Waislamu kwa ajili ya imani yake pamoja na Petro Malasanch.

Baba yake Ozmin na babu yake Ismael (mfalme wa Grenada) walikuwa wameongokea Ukristo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.