Petro Malasanch
Mandhari
Petro Malasanch, O. de M. (alifia dini Grenada, Hispania, 1428) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania, ambaye alikwenda mara mbili Afrika kukomboa watumwa na akauawa na Waislamu kwa ajili ya imani yake pamoja na Yohane wa Grenada.
Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |