Jeromu wa Pratis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jeromu wa Pratis, O. de M. (alifia dini 1431) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Aragona,Hispania ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akauawa kwa mishale kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeromu wa Pratis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.