Lusiferi wa Cagliari
Mandhari
Lusiferi wa Cagliari (alifariki Cagliari, leo nchini Italia, 370[1]) alikuwa askofu wa mji mkuu wa kisiwa cha Sardinia kwa walau miaka 16 [2][3].
Anakumbukwa hasa kwa jinsi alivyotetea kwa nguvu zote imani sahihi ya Mtaguso wa kwanza wa Nisea. Kwa ajili hiyo alidhulumiwa sana na kaisari Constantius II akapelekwa uhamishoni miaka 6[4][5][6]. Ndiko alikoandika maandishi yake mbalimbali[7] dhidi ya Ario[8].
Kutokana na sifa hiyo alichukuliwa kama kielelezo na Wakristo wenye itikadi kali walioanzishwa farakano lenye jina lake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 20 Mei[9].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jerome, Chron. Ol. CCLXXXVII 2.
- ↑ "Lucifer (bishop of Cagliari)." Encyclopædia Britannica. Available online <http://www.britannica.com/EBchecked/topic/350593/Lucifer>.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/54140
- ↑ Cross, F. L., and Elizabeth A. Livingstone. "Lucifer." Oxford Dictionary of the Christian Church (pg. 841). Second Edition. New York: Oxford University Press, 1984.
- ↑ MC GUIRE, M.R.P. "Lucifer of Cagliari", New Catholic Encyclopedia (Volume 8, pp. 1058). McGraw-Hill Co., New York, 1967. Copyright by The Catholic University of America, Washington, D.C.
- ↑ Schaff, Philip. "Principal Works of St. Jerome", Select Library of the Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church (Volume VI, pg. 319). Second Series. Christian Literature Publishing Co., New York, 1892. Available online through The Christian Classics Ethereal Library <http://www.ccel.org/ccel/schaff/npnf206/Page_319.html>.
- ↑ *De non conveniendo cum haereticis (On not Coming Together with Heretics)
- De regibus apostaticis (On Apostate Kings)
- Quia absentem nemo debet iudicare nec damnare, sive De Athanasio (That No One Ought to be Judged or Condemned while Absent, or Concerning Athanasius), 2 books
- De non parcendo in Deum delinquentibus (On not Sparing those who Commit Offences Against God)
- Moriundum esse pro Dei filio (The Necessity of Dying for the Son of God)
- Epistulae Luciferi et aliorum (Letters by Lucifer and Others)
- Fides sancti Luciferi episcopi (Faith of Saint Bishop Lucifer), dubious
- ↑ Lucifer of Cagliari's surviving writings, all of which date from the period of his exile, are directed against Arianism and reconciliation with heresy. His works are written in the form of speeches delivered directly to Constantius and repeatedly address the emperor in the second person throughout. His texts quote extensively from the Bible and so are useful as sources for the Vetus Latina. Also extant is a pair of letters which are allegedly correspondence between Lucifer and the emperor's secretary Florentius on the subject of some of Lucifer's inflammatory works that he had sent to Constantius.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cross, F. L. ed. The Oxford Dictionary of the Christian Church. New York: Oxford UP, 1978.
- Englebert, Omer. The Lives of the Saints. Christopher and Anne Fremantle, trans. New York: Barnes & Noble Books, 1994. Nihil obstat, Imprimatur 1951.
- Hartel, Wilhelm, ed. Luciferi Calaritani opuscula. Wien, 1886 (CSEL, vol. 14)
- Diercks, G. F. ed. Luciferi Calaritani Opera quae supersunt. Turnhout: Brepols, 1978 (Corpus Christianorum, vol. 8)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiitalia) San Lucifero
- Opera Omnia CSEL 1886 from Google Books
- Opera Omnia Migne 1845 from Internet Archive
- Works in Latin at Migne
- List of the writings of Lucifer in English
- Catholic Encyclopedia, "Lucifer of Cagliari"
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |