Rogati mfiadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rogati mfiadini ni jina la Wakristo walau tisa waliouawa kwa ajili ya imani yao. Wengi wao ni kutoka Afrika Kaskazini katika karne za kwanza BK.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia ya wengi wao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu zao huadhimishwa tarehe mbalimbali.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.