Artemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Artemi
Mungu wa Kike wa Uwindo, Misitu, Vilima na Mwezi
MakaoMlima Olimpos
AlamaUpinde, Mishale, Kulungu dume na Mbwa wa kuwinda
WazaziZeu na Leto
NduguApolo
Ulinganifu wa KirumiDiana

Artemi (kwa Kigiriki: Άρτεμις, Ártemis) alidhaniwa kuwa dada wa Apolo, binti wa Zeu na Leto. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa uwindo na mwezi. Analingana na Diana katika dini ya Roma ya Kale.

Hekalu lake mjini Efeso lilikuwa kati ya maajabu saba ya dunia.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.