Mitholojia ya Kigiriki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kichwa cha Sanamu ya Zeu

Mitholojia ya Kigiriki ni jumla ya elimu ya visasili au mitholojia ya Ugiriki ya Kale, yaani ukusanyaji wa masimulizi na hadithi kuhusu vyanzo, miungu na mashujaa wao. Zilikuwa moja ya sehemu za dini ya Ugiriki ya Kale.

Miungu Kumi na Miwili ya Olimpos[hariri | hariri chanzo]

Jina la Kigiriki Jina la Kiswahili Maelezo
Aφροδίτη (Afrodítē) Afrodita Mungu wa kike wa upendo na uzuri.
Aπόλλων (Apóllōn) Apolo Mungu wa nuru na ushairi.
Άρης (Árēs) Ares Mungu wa vita.
Άρτεμις (Ártemis) Artemi Mungu wa kike wa uwindo.
Αθηνά (Athēná) Athena Mungu wa kike wa elimu na hekima.
Δημήτηρ (Dēmḗtēr)

Δήμητρα (Dḗmētra)

Demetra Mungu wa kike wa mimea na kilimo.
Διόνυσος (Diónysos) Dioniso Mungu wa divai.
Έρως (Érōs) Ero Mungu wa mapenzi.
ᾍδης (Ádēs) Hade Mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa.
Ήφαιστος (Ḗfaistos) Hefaisto Mungu wa uhunzi.
Ήρα (Ḗra) Hera Mungu wa kike wa ndoa na malkia ya miungu.
Ερμής (Ermḗs) Herme Mjumbe wa miungu.
Ἑστία (Estía) Hestia Mungu wa kike wa moto.
Ποσειδῶν (Poseidṓn)

Ποσειδώνας (Poseidṓnas)

Poseidoni Mungu wa bahari.
Ζεύς (Zeús)

Δίας (Días)

Zeu Mungu wa radi na mfalme wa miungu.

Protogenoi[hariri | hariri chanzo]

Jina la Kigiriki Jina la Kiswahili Maelezo
Αιθήρ (Aithḗr) Aitheri Mungu wa anga.
Ἀνάγκη (Anágkē) Ananka Mungu wa kike wa lazima.
Έρεβος (Érevos) Erebo Mungu wa giza.
Γαία (Gaía) Gaya Mungu wa kike wa ardhi.
Ημέρα (Ēméra) Hemera Mungu wa kike wa mchana.
Χάος (Kháos) Khaos
Χρόνος (Khrónos) Khrono Mungu wa muda.
αἱ Nῆσοι (ai Nḗsoi) Visiwa Miungu ya kike ya visiwa.
Νύξ (Nýx) Niksi Mungu wa kike wa usiku.
Ουρανός (Ouranós) Urano Mungu wa mbingu.
Ούρος (Oúros) Milima Miungu ya milima.
Πόντος (Póntos) Ponto Mungu wa bahari ya dunia nzima.
Τάρταρος (Tártaros) Tartaro Mungu wa tartaro.
Θάλασσα (Thálassa) Thalasa Malkia wa bahari na mke wa Ponto.

Titani Kumi na Wawili[hariri | hariri chanzo]

Jina la Kigiriki Jina la Kiswahili Maelezo
Ὑπερίων (Yperíōn) Hiperioni Mungu wa nuru ya jua.
Ἰαπετός (Iapetós) Yapeto
Κοῖος (Koïos) Koyo Mungu wa fahamu.
Κρεῖος (Kreïos) Kreyo
Κρόνος (Krónos) Krono Mfalme wa Titani.
Mνημοσύνη (Mnēmosýnē) Mnemosina Mungu wa kike wa kumbukumbu.
Ὠκεανός (Ōkeanós) Okeano Mungu wa bahari kuu.
Φοίβη (Foívē) Foiba
Ῥέα (Réa) Rea Malkia wa Titani na mke wa Krono.
Τηθύς (Tēthýs) Tethi Mungu wa kike wa mito.
Θεία (Theía) Theya Mungu wa kike wa uonaji.
Θέμις (Thémis) Themi

Majitu[hariri | hariri chanzo]

 • Hekatonkheire (Ἑκατόγχειρες) — majitu yenye mikono mia na miungu wa dhoruba na vimbunga.
  • Briareo (Βριάρεως)
  • Coto (Κόττος)
  • Gige (Γύγης)
 • Siklopsi (Κύκλωψ) - majitu-chongo watatu.
  • Arge (Ἄργης)
  • Bronte(Βρόντης)
  • Sterope (Στερόπης)
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitholojia ya Kigiriki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.