Nenda kwa yaliyomo

Siklopsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Polyphemus, uliofanywa na Johann Heinrich Wilhelm Tischbein.

Katika mitholojia ya Kigiriki na mitholojia ya Kirumi, Siklopsi (Kigiriki: Κύκλωψ, Kuklōps) alikuwa mwanachama wa mbegu ya asili ya majitu yenye chongo kati ya paji.

Orodha ya siklopsi

[hariri | hariri chanzo]
  • Polifemu (Πολύφημος)
  • Arge (Ἄργης)
  • Bronte (Βρόντης)
  • Sterope (Στερόπης)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siklopsi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.