Hera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hera
Hera Campana Louvre Ma2283.jpg
Malkia wa miungu
Mungu wa Kike wa Ndoa na Wanawake
Makao Mlima Olimpos
Alama Komamanga, Tausi, Nyoya na Taji
Mwenzi Zeu
Wazazi Krono na Rea
Ndugu Hestia, Hade, Zeu, Poseidoni, Demetra, Khironi
Watoto Ares, Enyo, Heba, Eileithia, Hefaisto, Eris
Ulinganifu wa Kirumi Juno

Hera (Kigiriki Ἥρα, Hēra, au kwa Kiionia na Kihomeri: Ἥρη, Hērē) alikuwa dada na mke wa mfalme wa miungu Zeu na mungu wa kike wa ndoa na wanawake katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Juno katika dini ya Roma ya Kale.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hera kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.