Ares

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ares
Ares Canope Villa Adriana b.jpg
Sanamu ya Ares
Mungu wa Vita na Ujanadume
Makao Mlima Olimpos, Thraki, Masedonia & Sparta
Alama Mkonjo, Helmeti, Mbwa, Gari la farasi, Jivi
Wazazi Zeu na Hera
Ndugu Heba, Hefaisto, Enyo, Herakle, na Eileithia
Watoto Ero, Antero, Fobo, Deimo, Flejia, Harmonia, na Adrestia
Ulinganifu wa Kirumi Mars

Ares (Kigiriki: Άρης /ˈaris/; Kigiriki cha Kale: Ἄρης /árɛːs/) ni mungu wa vita na ujanadume katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Mars katika dini ya Roma ya Kale.

Sawa na Waroma Wagiriki waliona sayari ya nne (yaani Mirihi) kama ishara yake angani na kuiita "Ares".

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ares kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.