Helmeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Helmeti

Helmeti (kutoka Kiingereza "helmet") ni kofia ngumu ya chuma au sandarusi ya kukinga kichwa kisidhuriwe na pigo, hasa ikitokea ajali.

Huvaliwa na waendesha pikipiki, wachimba migodi, askari wawapo vitani n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helmeti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.