Mlima Olimpos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima Olimpos

Mlima Olimpos (Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas kinachofikia mita 2,918 juu ya UB, kirefu kuliko milima yote ya Ugiriki.

Katika masimulizi ya mitholojia ya Ugiriki ya Kale mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao.

Greece-geo-stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Olimpos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.