Hades

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hade)
Jump to navigation Jump to search
Hades
Hades-et-Cerberus-III.jpg
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero
Mfalme wa Kuzimu
Mungu wa Waliokufa
Makao Kuzimu
Alama Serbero, Helmeti ya Giza, Muhuhu, Narsisi, Ufunguo wa Hade
Mwenzi Persefona
Wazazi Krono na Rea
Ndugu Poseidoni, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
Watoto Makaria, Melinoe, Zagreo na Plutu
Ulinganifu wa Kirumi Pluto, Dis Pater, Orcus
Ulinganifu wa Kietruski Aita


Hades (Kigiriki cha Kale: ᾍδης, Hadēs; kutoka Ἅιδης, Haidēs au Άΐδης, Aidēs; Kidoriki: Ἀΐδας, Aidas) ni mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Pluto katika dini ya Roma ya Kale.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hades kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.