Hades

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hades
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero
Mfalme wa Kuzimu
Mungu wa Waliokufa
MakaoKuzimu
AlamaSerbero, Helmeti ya Giza, Muhuhu, Narsisi, Ufunguo wa Hade
MwenziPersefona
WazaziKrono na Rea
NduguPoseidoni, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
WatotoMakaria, Melinoe, Zagreo na Plutu
Ulinganifu wa KirumiPluto, Dis Pater, Orcus
Ulinganifu wa KietruskiAita


Hades (Kigiriki cha Kale: ᾍδης, Hadēs; kutoka Ἅιδης, Haidēs au Άΐδης, Aidēs; Kidoriki: Ἀΐδας, Aidas) ni mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Pluto katika dini ya Roma ya Kale.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cartwright, Mark, "Hades", World History Encyclopedia, retrieved 29 June 2015 .
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.