Poseidoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Poseidoni
0036MAN Poseidon.jpg
Sanamu ya Poseidoni
Mungu wa Bahari, Tetemeko na Farasi
Makao Mlima Olimpos
Alama Tridenti, Samaki, Pomboo, Farasi, Fahali
Mwenzi Amfitrita
Wazazi Krono na Rea
Ndugu Hade, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
Watoto Theseo, Tritoni, Polifemu
Ulinganifu wa Kirumi Neptunus

Poseidoni (Kigiriki cha Kale: Ποσειδῶν, Poseidōn) ni mungu wa bahari, tetemeko na farasi katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Neptunus katika dini ya Roma ya Kale.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Poseidoni kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.